Tarehe 4/06/2006 12:49 PM, Mtoa Maoni: John Mwaipopo
Tarehe 4/07/2006 12:37 AM, Mtoa Maoni: Reggy's
Tarehe 4/07/2006 5:02 AM, Mtoa Maoni: Innocent Kasyate
Tarehe 4/07/2006 5:10 AM, Mtoa Maoni: mzee wa mshitu
Huree haya ndiyo mambo tunataka maana huku washikaji tupo katika kampeni ya kuhakikisha kila aliye Mwananchi anakuwa na ka-gazeti tando kake, msiwe na shaka wapo wengi wanakuja muda si mrefu watarajieni kina Abdallah Bawazir, Midraj Ibrahim na wengineo kama hao.
Kabendera karibu bwana katika huu ulimwengu wetu wa kuchota fikra na kubadilishana mtandaoni hakika kuna chakula cha kutosha cha fikira.
Ciao
Tarehe 4/07/2006 6:52 AM, Mtoa Maoni: Edison Ludovick Ndyemalila
Tarehe 4/07/2006 9:39 AM, Mtoa Maoni: MICHUZI BLOG
karibuni wote. kibanda na kampuni yako karibuni. sie wengine karibu tutaitwa wakongwe, kama si waandamizi, ila mtembeleeni ndesanjo kwenye tujikomboe tupate uhakika na uhalali wa neno 'gazeti-tando' ambalo mjadala wake unaendelea, na sifa zimwendee makene kwa kampeni yake ya kufanya kukubalika kwa jina hilo.
Tarehe 4/11/2006 3:27 AM, Mtoa Maoni: Rashid Mkwinda
Makene mjanja sana anataka kujiweka katika historia,maana kafanya kampeni weee hadi kafanikiwa sasa gazeti tando hilooo latambulika laja kwa kasi kila mtu alijua, basi na kubaliane Blogu iitwe Gazeti Tando lakini tupige kura kwanza nani anakubali na nani anapinga ili uwepo uswa kwa wale waliotoa mawazo tofauti juu ya neno mbadala la Blogu
Hii ndio maneno mi nataka.