Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Tuesday, April 11, 2006
BARUA YA MAMA SEHEMU YA 7
NINI chanzo cha ubaguzi siku hizi, je ni rangi au mali? Nini nafasi ya jamii kupambana na aina hii ya ubaguzi. Fuatilia sehemu ya saba ya riwaya hii ukiangalia matatizo katika Tanzania, usafiri na tamaa za mali. Ungana na mtunzi Boniphace Makene katika barua hii ya kutia huzuni hapa sehemu ya saba.
 
© boniphace Tarehe 4/11/2006 08:59:00 AM | Permalink |


Comments: 0


   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved