Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Saturday, April 08, 2006
BARUA YA MAMA SEHEMU 5
KASRI anaeleza masaibu yaliyopo katika shule na vyuo vya Tanzania, madadiliko ya tabia, biashara ya ngono, ushoga na usagaji. Endelea kusoma Riwaya hii ya kusisimua hapa na kumbuka kutoa mawazo yako maana yatachangia kuboresha kitabu hiki. Asante sana Mija kwa maoni yako.
 
© boniphace Tarehe 4/08/2006 12:38:00 PM | Permalink |


Comments: 2


   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved