Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Thursday, March 16, 2006
ZAWADI YA MICHUZI
KASRI akiwa na mmoja wa waasisi wa Kwanza Unit KBC. Hapa ni baada ya mazungumzo marefu kuhusu nafasi ya Magazeti Tando na kutanua teknoloijia ya habari na sanaa za Afrika ulimwenguni.
 
© boniphace Tarehe 3/16/2006 04:38:00 PM | Permalink |


Comments: 0


   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved