Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Thursday, March 16, 2006
HAYA BARAGUMU SEMA, NASHUKURU KULITANGAZA KASRI
PICHA hii ni zawadi kwa Baragumu kufikisha Kasri la Mwanazuo Alabama nami kufahamu hivyo nikiwa Atlanta. Kwa kasi ya utangazaji wa Magaeti Tando yetu jamii kubwa itakubali kuwa hii ni haki yao ya msingi kuyasoma na kuyamasisha wamiliki zaidi kujitokeza kufungua yao ili kuleta ushindani wa Habari ulimwenguni. Aksante sana Baragumu kazi njema.
 
© boniphace Tarehe 3/16/2006 04:26:00 PM | Permalink |


Comments: 0


   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved