Je wajua hofu ya wasomi wa Afrika dhidi ya maisha ya vijijini kwao? Je wafahamu adha ya kukosa kushirikishana taarifa za mahusiano katika familia za kiafrika. Haya na mengine mengi yanajadiliwa katika sehemu hii ya nne ya Barua ya mama. Ungana na mwandishi wa kisa hiki kinachokukumbusha maisha ya zamani kikihusisha na hali ya sasa na kutoa mwanga wa nini kifanyike.
Endelea hapa sasa.
Kwenye hili umenena make ni kweli vijana wengi na wasomi wameshindi kwanza kuyamudu mabadiliko ya kizazi hadi kizazi.Na nikweli wasomi wetu wameshindwa kurudi kwao vijijini.hasa pale wanapojikuta hawatumiwi ipasavyo na selikali.lakini wakati mwingine tujilaumu sisi wasomi wenyewe kwani tunayo nafasi ya kufanya hivyo na wakati kweli ndo huu.Ongela Kaka kwa kuyaona haya