
MLIOSOMA au kutembelea TSJ hapa nakukumbusheni sherehe hizi ambazo tulikuwa tunakunywa hadi kukimbia ulabu. Aaah siku hizi naziita Mango Juice maana Marekani pombe unapaswa kuipakata kwa kuificha. Baragumu tazama hiyo Safari hapo kisha usitamani.
Tarehe 2/12/2006 7:53 PM, Mtoa Maoni: Jeff Msangi
Tarehe 2/13/2006 11:19 AM, Mtoa Maoni: John Mwaipopo
Hiyo safari uliyoikamata inapatikana pia hapo Detroit,Michigan.Ukija tena Canada nitahakikisha unaipata.