Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Sunday, February 12, 2006
NITAISHIJE EE MUNGU WANGU?

HAPA ni kama anakumbuka kuwa amepoteza katika uteuzi na tena nafasi yake kung'aa tena inaonekana kupotea kabisa. NI kama anamuomba Mola kikombe hicho kimuepuke.
 
© boniphace Tarehe 2/12/2006 01:36:00 PM | Permalink |


Comments: 1


  • Tarehe 2/14/2006 5:50 AM, Mtoa Maoni: Blogger Reginald S. Miruko

    kwa staili yako mpya ya picha utatupata wengi kuliko maneno. maana najua wengi ni wavivu wa kusoma, na tuliopo bongo internet tunalipia kuingia kublogu, hivyo tunataka njia ya kupata ujumbe bila kulipa pesa nyingi. Sumaye hapa anaombea mvua mashamba yake Kibaigwa na Mvomero yanakabiliwa na ukame.

     
   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved