Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Sunday, February 12, 2006
MWAKA MMOJA MWANANCHI

Mwenye kilemba ni Leah Samike, tukimpata huyu kwenye blogu za picha nadhani tutakuwa nasi tumeula. Kazi hii inaendelea kumvuta.
 
© boniphace Tarehe 2/12/2006 01:38:00 PM | Permalink |


Comments: 0


   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved