Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Saturday, February 11, 2006
MNANISIKIA NDUGU WANANCHI?

MOJA ya majukumu ya Kasri ni kuzungumza na wananchi pale apatapo fursa. Huku ni Lindi Kasri akiwa Sekondari ya Ndanda.
 
© boniphace Tarehe 2/11/2006 11:53:00 AM | Permalink |


Comments: 6


  • Tarehe 2/11/2006 1:34 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Umekaa kihedimasta kijana.Halafu unaonekana kama dingi wa makamu.

     
  • Tarehe 2/11/2006 1:50 PM, Mtoa Maoni: Blogger boniphace

    Kwani unadhani mimi si dingi. Kijana ni wewe tu mimi nilishakimbia umri hapa hata sijitamani kujiona.

     
  • Tarehe 2/11/2006 10:09 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Inaonekana kijana huheshimu wakubwa zako.Hivi waweza kujifananisha na sisi vijeba.Oh!Angalia usije ukasema kama asingetangulia kukuleta hapa duniani basi wewe ungemleta.....Mambo ya Steti vipi mzee wa kasri?Hivi nieleze ukweli hapo ni Ndanda sekondari au Tabata Kisukuru?Yawezekana pia ikawa Maji Matitu Mbagala Rangi Tatu au Kiburugwa Mbagala.

     
  • Tarehe 2/12/2006 6:49 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    We mtu wa suti suti hivi...

     
  • Tarehe 2/12/2006 11:31 AM, Mtoa Maoni: Blogger boniphace

    Acheni matani nyie mbona mnanifanya nilipuke kwa kicheko hapa ughaibuni? State noma tu ndugu zangu. Hivyo ni vimavazi tu havihitaji lazima uwe mbunge ama waziri. Hapo Ni Ndanda kabisa na si vinginevyo.

     
  • Tarehe 2/18/2006 7:45 AM, Mtoa Maoni: Blogger FOSEWERD Initiatives

    ndanda ndio nimezaliwa, pale st Benedict!..sasa hapo ulikuwa unahamasisha kitu gani?

     
   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved