HAPA Kasri ni kama anamwambia Mzee Fredrick amfumbue macho na yeye aone njia rahisi ya kujipatia mashamba na vijimali. Hapana natania hapo nilikuwa natoa mchango kwa ajili ya Mfuko wa Shaaban Robert uliozinduliwa siku hiyo kwa lengo la kutoa ufadhili wa shahada ya Uzamili katika Kiswahili. Kasri alitoa ahadi ya kuchangia sh 20,000 na kuitimiza baadaye.