Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Saturday, February 11, 2006
MALENGA SHAABAN DAMBAYA NA KASRI LA MWANAZUO


Kupanuka kwa fani ya ushairi kwa Kasri la Mwanazuo kulitokana an ushirikiano na huyu Malenga wa Pwani Shaaban Dammbaya. Jamani mnaofahamu huyu malenga alipo naomba mrejesheni anisalimie tukumbushie Muswada wa Hodi Hodi Duniani.
 
© boniphace Tarehe 2/11/2006 11:39:00 AM | Permalink |


Comments: 0


   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved