PICHA hii licha ya kunikumbusha hao wandugu wengine ambao ni wadau katika serikali ya Tanzania na Zanzibar zaidi yanipa kumbukumbu ya Mzee Bomani. Bongo kama ukiondoka ni mara chache kukumbuka. Mzee huyu alikuwa na historia kubwa sana hasa katika suala la vyama vya ushirika.