Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Sunday, February 12, 2006
KUMBUKUMBU ZA ROCKS IHUNGO

Tumetoka mbali sana, kwa aliyepita hapo Ihungo anajua chini huko ni mjini Bukoba na mawe hayo sasa nasikia hayapo tena maana yamebandikwa majengo juu yake.
 
© boniphace Tarehe 2/12/2006 01:04:00 PM | Permalink |


Comments: 2


  • Tarehe 2/13/2006 10:35 AM, Mtoa Maoni: Blogger Egidio Ndabagoye

    Umefika huko kaka?.Unakumbuka lile "bifu" kipindi kile na UMUMWANI? au hukulikuta.

     
  • Tarehe 2/14/2006 9:57 AM, Mtoa Maoni: Blogger Boniphace Makene

    Nkumbuka, lakini tulikuwa watemi si unajua hapo Bukoba bila sisi mji ulikuwa haukaliki. N akwenye neshno Ekzamu hapo ndipo tulipokuwa tunatesa na kutembea tauni vifua wazi na yunifomu zetu zenye majogoo matatu. Nikumbushe zaidi Egidio kuhusu ule msitu kuelekea polisi pale Nshambya kuelekea Omumwani ulikuwa mithili ya Bichi vile.

     
   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved