Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Sunday, February 12, 2006
KIKOSI CHETU CHA YOSSO

HII ni zawadi ya Tafakari za Maisha. Nadhani hapo anacheka baada ya kukutana na kumbukumbu hii. Haya wasalimie hao ndugu wakumbushe kutembelea blogu zetu.
 
© boniphace Tarehe 2/12/2006 01:09:00 PM | Permalink |


Comments: 1


  • Tarehe 2/14/2006 1:21 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Kaka Eeee!! Mbona Mkwawa ulikuwa hufanyi mambo? Au ndio ukawa unapenda Politiki tuu? Maana hapa naona umependeza sanaa.

     
   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved