Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Sunday, February 12, 2006
KIKAPUNI

VIPAJI vipo vingi Bongo lakini kwa nini hatufiki mbali katika michezo. Tazama hizi tambo za Kasri enzi hizo Kapteni wa trimu ya Kikapu mkoa wa Kagera.
 
© boniphace Tarehe 2/12/2006 01:30:00 PM | Permalink |


Comments: 4


 • Tarehe 2/13/2006 4:20 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

  Aliyekudaka katika picha hiyo lazima alikuwa Michuzi.

   
 • Tarehe 2/13/2006 11:22 AM, Mtoa Maoni: Blogger John Mwaipopo

  Umetoka mithili ya Michael Jordan. Kumbuka nembo yake katika nguo.

   
 • Tarehe 2/18/2006 8:51 AM, Mtoa Maoni: Blogger Rashid Mkwinda

  DU MSHIKAJI HAPA NADHANI(ASHAKUM) HATA USHUZI ULIKUTOKA,MAANA UMERUKA OVA.......

   
 • Tarehe 2/20/2006 7:33 AM, Mtoa Maoni: Anonymous ndesanjo

  Kasri hii picha ni kiboko. Picha hizi tusije zipoteza. Kumbukumbu murua kabisa. Sikujua kumbe wewe unaruka kama Maiko Jodani. Asante kwa picha kemkem umetuwekea...zile za Mwananchi safi sana. Umenikumbusha mengi.

   
   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved