Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Sunday, February 12, 2006
BAADA YA KUTIMUANA MLIMANI


HAPA anakosekana Zitto Kabwe, Ole Navaya Ndaskoi, Mvula Emanuel, Omari Ilyas na Msando Alberto Pereira. Waliopo ni Siriwa, Lijungu litaka Karuti, Mwikwabe Chacha, na Kasri la Mwanazuo.
 
© boniphace Tarehe 2/12/2006 12:58:00 PM | Permalink |


Comments: 8


  • Tarehe 2/14/2006 10:15 AM, Mtoa Maoni: Blogger John Mwaipopo

    Siriwa niliwahi kumteua kwenye kabaraza kangu ka faculty, halafu akaniletea ujinga kisha nikamtimua na kuappoint mtu mwingine.

     
  • Tarehe 2/14/2006 11:53 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Sema vema au hakutoa rushwa ya posho za vikao.

     
  • Tarehe 2/14/2006 1:04 PM, Mtoa Maoni: Blogger John Mwaipopo

    Anonymasi: Hakuingia hata kikao kimoja. Alinikera kabla kwa ubinafsi wa matatizo yake na sio yale kitivo, ambayo aliona hayamuhusu sana.

     
  • Tarehe 2/15/2006 8:07 AM, Mtoa Maoni: Blogger FOSEWERD Initiatives

    inapendeza sana..huwa hatutaki ujinga.....

     
  • Tarehe 2/16/2006 2:06 AM, Mtoa Maoni: Blogger FOSEWERD Initiatives

    nimefurahi sana, pia nilitumikia serekali ya wanafunzi chuo kikuu miaka mitatu - SUASO! inafurahisha sana kuwa hayakuwa maigizo wala upotezaji muda! - nimegundua hii kada ya wanafunzi waliosomea vyuo vya nyumbani hasa shafada ya kwanza ndio yenye kuleta mabadiliko badala ya kukumbatia wawekezaji na rushwa kimtindo - tukianza na JK, sisi tunafuatia kazeni buti wanamakunyanzi wasipewe nafasi tena - iwe ndani au nje ya CCM! ninaamini kabisa kuwa pia blogu zinatufundisha kukosoana na kuelimishana bila kugombana pia - hii ina maana kuwa hata kwenye siasa halisi za Tz ijayo, imani za vyama vyetu na mashindano ya kisiasa miongoni mwetu yatakuwa ya kisayansi zaidi yanayoongozwa na sera mahiri na za kutekelezeka..yakiwa na lengo la ukombozi wa mtanzania na sio just kukamata dola tu hata ikibidi kutumia ngunguri!

    cheers!

     
  • Tarehe 2/16/2006 2:16 AM, Mtoa Maoni: Blogger FOSEWERD Initiatives

    kuhusiana hoja ya bwana Mwaipopo kumdismiss mheshimiwa mmoja kwa kutohudghuria mikutano imenikumbusha hapbari ya Malawi ambapo raisi Bingu wa Mutharika alipomtimua makamu wake bwana Chilumpha Cassim kwani amekuwa hahudhurii mikutano..japokuwa makamu amedinda mahakamani kuwa impeachment haikufuata process!! Mwaipopo ulipata upinzani wowote? je ulifuata process? ulipata idhini ya SRC au Baraza lenye quorum iliyokuruhusu?

     
  • Tarehe 2/16/2006 3:17 PM, Mtoa Maoni: Blogger John Mwaipopo

    Wakati ule nguvu zote nilikuwa nazo mkonono. Sijui siku hizi. Vipi unafikiri nilimwonea?

     
  • Tarehe 2/17/2006 12:19 AM, Mtoa Maoni: Blogger FOSEWERD Initiatives

    no! sio hivyo, ila ni kweli kuna viongozi huwania / hutaka nafasi za uongozi ili waweze kuvaa tai na kujifagilia kimtindo kwa wenzetu wa jinsia tofauti...na hutesa wenzao kweeli ukizingatia load ya shule!!! kimsingi mimi ninadhani ukiwa chuo, you have to choose kujiengage na student organisation au kujitafutia kabinti huwezi ukaataend vyote utafyatuka tu!!!

    inawezekana ulikuwa sahihi...sisi Sokoine tulikuwa na kautaratiubu wa empeachment....OOH YES NILIMIX! ikiwa inawahusu washika ofisi tu..yaani raisi, makamu wa raisi na katibu mkuu wa SUASO! - sio mawaziri et. al! nakumbuka mkitaka kumpiga chini mkuu lazima muamue kwenye baraza lenye quorum iliyotimia, wakati huo huo mkuu atahakikisha anavuruga au anapostpone baraza...inakuwa nguvu ya umma!! - nakumbuka jamaa yangu Alex Nyefwe akiongoza serekali ya mpito alimpiga chini waziri wa starehe kisa aliruhusu disco kuendelea wakati tulikuwa na msiba wa mwenzetu wiki hiyo hiyo!!!

     
   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved