Jamani kama kuna jamaa unamkumbuka katika picha hii muulize hivi tulimgomea mwalimu yule kwa kisa gani. Najua tulikuwa na hoja na Makamu Mkuu wa Shule kipindi kile Chonya alitupa kimzigo hicho ili kusawazisha mambo. Mtakumbuka picha hii tuliambizana kuwa hakuna kucheka. Nikumbusheni jamani maana hapa nacheka sana.