Hiyo ni Zanzibar kama mnavyoona, wakazi wa Tanzania mtanisamehe maana sitafafanua kazi inayofanyika huko ndani lakikni nimechukua picha hii kuwaonyesha kuwa Zanzibar nayo si hapa hapo Toronto.
Inavyoonesha ni hatari tupu ndani ya jumba hilo, hivi kwa nini wasitumie jina jingine zaidi ya Zanzibar, kuna nini hapa na kwa sababu ya maslahi yapi, hili jambo kuna haja ya kulichangia kwa pamoja, kwani sote ni wazalendo pamoja na kutofautiana kiubara na uzanzibari, hebu na tujiulize kunani ndani ya jumba hilo?