Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Tuesday, January 03, 2006
ZIARA YA CANADA KATIKA PICHA


Hiyo ni Zanzibar kama mnavyoona, wakazi wa Tanzania mtanisamehe maana sitafafanua kazi inayofanyika huko ndani lakikni nimechukua picha hii kuwaonyesha kuwa Zanzibar nayo si hapa hapo Toronto.
 
© boniphace Tarehe 1/03/2006 07:17:00 PM | Permalink |


Comments: 3


 • Tarehe 1/04/2006 2:03 PM, Mtoa Maoni: Blogger John Mwaipopo

  Asante kwa kutumegea kwa uchache yale yanayoambatana na safari yako huko kwa Jeff Msangi. Kuhusu yanayotendeka humo ndani ya 'visiwa vya karafuu' tunafasiri wenyewe yakhe!

   
 • Tarehe 1/08/2006 4:07 AM, Mtoa Maoni: Blogger Rashid Mkwinda

  Inavyoonesha ni hatari tupu ndani ya jumba hilo, hivi kwa nini wasitumie jina jingine zaidi ya Zanzibar, kuna nini hapa na kwa sababu ya maslahi yapi, hili jambo kuna haja ya kulichangia kwa pamoja, kwani sote ni wazalendo pamoja na kutofautiana kiubara na uzanzibari, hebu na tujiulize kunani ndani ya jumba hilo?

   
 • Tarehe 1/08/2006 1:07 PM, Mtoa Maoni: Blogger Boniphace Makene

  Mkwinda hujakosea ni hatari tupu na sisi maustaadh hatuthubutu hata kutia macho yetu ndani kisa kilichonifanya kuogopa kabisa kusogea karibu.

   
   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved