KAMA nilivyowahi kubaninisha mazungumzo yangu na
JEFF pale Toronto wito mmoja ulikuwa kushawishi tunaowafahamu wafungue blogu zao. Kazi hiyo inafanyika kwa kasi sana na matunda yake ni haya...blogu ya
IBRAHIM BWIRE ikitokea hapo Bulyanghulu inakuwa ya kwanza kutoka katika anga za migodi ya Tanzania iliyobinafsishwa. Huyu jamaa mwanafikra sana na kama unabisha mtembelee sasa umuone na kumkaribisha. Kwani uongo tazama sasa
NURU AKILINI.