Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Sunday, January 08, 2006
FIKRA ZILIZOZAA BARAGUMU!

HAPA ni Baltmore, Maryland anaonekana Mwaipopo John Mkazi wa Baragumuni baada ya kuishiwa kauli juu ya kuanzisha Blogu mpya. Pembeni yake ni Kasrilamwanazuo na mjadala huo ulifanikiwa baada ya miezi miwili baada ya Mwaipopo kufungua Blogu yake akiwa Alabama.
 
© boniphace Tarehe 1/08/2006 01:10:00 PM | Permalink |


Comments: 2


  • Tarehe 1/11/2006 8:28 AM, Mtoa Maoni: Blogger Ndesanjo Macha

    Baragumu, nyoa hizo ndevu isije ukaonekana unamshambikia yule bwana mwenye madevu anayeishi mapangoni huku akiwa ni milionea. Na hizo "afro" zenu tutazinyoa kwa shami (mnajua shami ni nini?).

     
  • Tarehe 1/11/2006 8:58 AM, Mtoa Maoni: Blogger Boniphace Makene

    Ndesanjo sijui hiyo shami maana lugha pana sana hii nifahamishe nijue la kufanya harakaharaka.

     
   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved