Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Wednesday, January 04, 2006
BARAZA LA KIKWETE
BARAZA LA MAWAZIRI

A. MAWAZIRI

OFISI YA RAIS

Waziri wa Nchi – Menejimenti ya Utumishi wa Umma
1. Mheshimiwa Hawa Abdulrahman Ghasia (Mb)
Wizara ya Nchi – Utawala Bora
2. Mheshimiwa Philip Sang’ka Marmo (Mb)
Wizara ya Nchi – Siasa na Uhusiano wa Jamii
3. Mheshimiwa Kingunge Ngombale Mwiru (Mb)

OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi – Muungano
4. Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb)
Wizara ya Nchi – Mazingira
5. Mheshimiwa Prof. Mark James
Mwandosya (Mb)

OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi – Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa
6. Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda
(Mb)
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge)
7. Mheshimiwa Juma Jamaldin Akukweti
(Mb)

WIZARA ZINAZOJITEGEMEA

Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
8. Mheshimiwa Dkt. Asha-Rose Mtengeti Migiro (Mb)
Ushirikiano wa Afrika Mashariki
9. Mheshimiwa Andrew John Chenge (Mb)
Fedha
10. Mheshimiwa Zakia Hamdani Meghji (Mb)
Mipango, Uchumi na Uwezeshaji
11. Mheshimiwa Dkt. Juma Alifa Ngasongwa (Mb)
Viwanda, Biashara na Masoko
12. Mheshimiwa Nazir Mustafa Karamagi (Mb)

Kilimo, Chakula na Ushirika
13. Mheshimiwa Joseph James Mungai (Mb)
Maliasili na Utalii
14. Mheshimiwa Anthony Mwandu Diallo (Mb)
Maji
15. Mheshimiwa Stephen Masatu Wassira (Mb)
Nishati na Madini
16. Mheshimiwa Dkt. Ibrahim Said Msabaha (Mb)
Miundombinu
17. Mheshimiwa Basil Pesambili Mramba (Mb)
Afya na Ustawi na Jamii
18. Mheshimiwa Prof. David Homeli Mwakyusa
(Mb)
Elimu na Mafunzo ya Ufundi
19. Mheshimiwa Margareth Simwanza Sitta (Mb)
Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia
20. Mheshimiwa Prof. Peter Mahmoud Msolla
(Mb)
Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana
21. Mheshimiwa Prof. Jumanne Abdallah
Maghembe (Mb)
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
22. Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli
(Mb)
Habari, Utamaduni na Michezo
23. Mheshimiwa Muhammed Seif Khatib (Mb)
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
24. Mheshimiwa Prof. Juma
Athumani Kapuya (Mb)
Usalama wa Raia
25. Mheshimiwa Harith Bakari Mwapachu
(Mb)
Mambo ya Ndani
26.Mheshimiwa Capt. John Zefania Chiligati (Mb)
Katiba na Sheria
27. Mheshimiwa Dkt. Mary Michael Nagu (Mb)
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
28. Mheshimiwa Sofia Mnyambi Simba (Mb)
Maendeleo ya Mifugo
29. Mheshimiwa Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa (Mb)

B. NAIBU MAWAZIRI

OFISI YA WAZIRI MKUU
Maafa na Kampeni Dhidi ya Ukimwi
30. Mheshimiwa Dkt. Luka Jelas Siyame (Mb)
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
31. Mheshimiwa Celina Ompeshi Kombani (Mb)
WIZARA ZINAZOJITEGEMEA
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
32. Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi (Mb)
33. Mheshimiwa Dkt. Cyril August Chami (Mb)
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki
34. Mheshimiwa Dr. Diodorus Buberwa Kamala (Mb)
Fedha
35. Mheshimiwa Abdisalaam Issa Khatib (Mb)
36. Mheshimiwa Mustafa Haidi Mkulo (Mb)
Mipango, Uchumi na Uwezeshaji
37. Mheshimiwa Salome Joseph Mbatia (Mb)
Viwanda, Biashara na Masoko
38. Mheshimiwa Dkt. David Mathayo David (Mb)
Kilimo, Chakula na Ushirika
39. Mheshimiwa Christopher Kajoro Chizza (Mb)
40. Mheshimiwa Hezekiah Ndahani Chibulunje (Mb)
Nishati na Madini
41. Mheshimiwa Lawrence Kego Masha (Mb)
Miundombinu
42. Mheshimiwa Dkt. Maua Abeid Daftari (Mb)
43. Mheshimiwa Dkt. Milton Makongoro Mahanga (Mb)
Maji
44. Mheshimiwa Shamsa Selengia Mwangunga (Mb)
Afya na Ustawi wa Jamii
45. Mheshimiwa Dkt. Aisha Omar Kigoda (Mb)
Elimu na Mafunzo ya Ufundi
46. Mheshimiwa Mwantumu Bakari Mahiza (Mb)
47. Mheshimiwa Ludovick John Mwananzila (Mb)
Elimu ya Juu, Sayansi na Tekinolojia
48. Mheshimiwa Gaudensia Mugosi Kabaka (Mb)
Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana
Vijana na Kazi
49. Mheshimiwa Jeremia Solomon Sumari (Mb)
Ajira
50. Mheshimiwa Daniel Nicodem Nsanzungwako (Mb)
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
51. Mheshimiwa Rita Louise Mlaki (Mb)
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
52. Mheshimiwa Dkt. Batilda Salha Burian (Mb)
Usalama wa Raia
53. Mheshimiwa Mohamed Aboud (Mb)
Mambo ya Ndani
54. Mheshimiwa Bernard Kamillius Membe (Mb)
Maendeleo ya Mifugo
55. Mheshimiwa Dkt. Charles Ogessa Mlingwa (Mb)1
Maliasili na Utalii
56. Mheshimiwa Zabein Muhaji Mhita (Mb)
Habari, Utamaduni na Michezo
Habari na Utamaduni
57. Mheshimiwa Dkt. Emmanuel John Nchimbi (Mb)
Michezo
58. Mheshimiwa Joel Nkaya Bendera (Mb)
Sheria na Mambo ya Katiba
59. Mheshimiwa Mathias Meinrad Chikawe (Mb)
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
60. Mheshimiwa Omar Yussuf Mzee (Mb)

IKULU, DAR ES SALAAM
4 Januari, 2006
 
© boniphace Tarehe 1/04/2006 07:23:00 AM | Permalink |


Comments: 3


 • Tarehe 1/06/2006 3:22 AM, Mtoa Maoni: Blogger mloyi

  Upo hapo? Hiyo ni safu mpya ya mashambulizi. Naona kuna watu wamepewa kazi maalumu, tusubiri matokeo yake.
  Labda safari hii m-Tanzania hatakuwa mfagiaji tu, labda hata meneja kwenye ile hotel.

   
 • Tarehe 1/08/2006 1:22 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

  Mhmm!! humo ndani kuna Wizara zinafanana sanaa, mfano Polisi wataingia wapii? Wizara ya Usalama wa raia au Wizara ya mambo ya ndani? Mhmm!! Wizara menejimenti ya utumishi wa umma na Wizara ya Utawala bora Mhmm!! Kwani Menejimenti kwa kiswahili ni nini? Hahaha! Naomba nieleweshwe jamani.

   
 • Tarehe 1/08/2006 2:54 AM, Mtoa Maoni: Blogger Bwaya

  Hili Baraza ni mzigo mkubwa kwa watanzania. Nisiseme mengi kuhusu hilo.
  Namwonea huruma mama Sitta ambaye alikuwa Rais wa walimu. Enzi zake alitetea sana maslahi yao serikalini.
  Leo yeye huyo huyo ndiye anayetakiwa kufanyia kazi hayo hayo aliyokuwa anayalalamikia. Akishindwa walimu watakula naye sahani moja nadhani.
  Isitoshwe ana kazi nzito ya kurekebisha mambo maana aliyemtangulia ameharibu sana sio siri.

   
   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved