Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Thursday, November 24, 2005
BORA KUFIA HAPA WHITE HOUSE KULIKO KUSALITI MOYO KWA KUTAZAMA VITA DUNIANI
 
© boniphace Tarehe 11/24/2005 06:23:00 PM | Permalink |


Comments: 3


  • Tarehe 11/26/2005 4:40 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    frenki umemtoa wapi kumleta hapo?
    Ukimuona tena msalimie.
    - mwandani

     
  • Tarehe 11/27/2005 4:49 PM, Mtoa Maoni: Blogger Jeff Msangi

    Uhuru huu wa mawasiliano na habari unatia moyo.Tanzania yetu,thubutu!Utaozea gerezani.Lakini hata hivyo ukweli lazima usemwe.

     
  • Tarehe 11/28/2005 7:40 AM, Mtoa Maoni: Blogger boniphace

    Nashukuru Jeff, nakumbuka nukuu niliyowahi kusoma katika kitabu cha Mashujaa. Sijawahi kukitia kppeni hiki tangu wakati ule nikiwa kinda. "Kuna umuhimu gani kuishi maisha ya miaka mingi na kufa mzee halafu ukasahaulika au kufa kijana na kubakiza jina lako milele" Nimechagua maisha yangu kuwa haya ya pili ya kufa kijana na kuacha jina.

     
   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved