Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Sunday, October 16, 2005
UMESIKIA HII
SIAMINI sana taarifa hii na hii inatokana na kutokukubali mazingira ya hali ya Tanzania sasa. Kuna jambo limetokea Mwanza wakati wa kampeni za Rais ajaye Jakaya Kikwete. Kaa nami nazidi kufatilia nyeti za tukio hili la kihistoria katika kampeni za kisiasa Tanzania.
 
© boniphace Tarehe 10/16/2005 10:54:00 AM | Permalink |


Comments: 0


   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved