Kasri, jumba la weledi waweza keti hapa na kupata ukitakacho. Chakula cha wakazi wa Kasri ni fikra na chakula hiki kimewapa thawabu wananchi wa nchi hii hali inayowafanya kutoziba midomo yao kila waonapo damu ya wanaonyanyaswa ikidondoka katika bahari ya dhiki, maangamizi na unyonyaji. Waweza nawe keti hapa na kula fikra hizi.
Thursday, October 27, 2005
MSIBA NA JENEZA LA KODI KWA MASKINI?
UCHAGUZI mkuu ulikokuwa umepangwa kufanyika Oktoba 30 sasa utafanyika Desemba 18. Hii itakuwa fursa nyingine kwa wanaokula rushwa kupata mwezi mpya wa kutafuna hiyo sumu huku wagombea walioishiwa rushwa ukiwa ni wakati mwingine wa kukopa ili wakamilishe kibarua cha ununuzi wa kura!

Wakati hayo yakiwakumba mabazazi wa fikra na upeo wao wa macho, Mwenye Kasri yeye kaegeza kichwa akiwaza namna karatasi zilizokuwa zimechapishwa mapema zitakavyochomwa moto! Gharama zitakazoongezeka zitatoka kwa nani na je,TUME ITAONYESHA BUSARA WALAU KUTANGAZA GHARAMA HIZO?

Hayo yakiendelea linakuja swali la hali ya kumtelekeza mgombea huyo lililowahi kuripotiwa na vyombo vya habari na mimi pia kuchangia mjadala huo nikibaini mazingira ya hatari yatakaibili CHADEMA baada ya uchaguzi mkuu Desemba 18! Hilo ni mosi tu, Je sheria za uchaguzi zinasemaje kuhusu mazingira ya kuwabebesha mzigo walipa kodi kutokana na gharama za ziada huku mgombea huyo alilala hospitali karibu kipindi chote cha kampeni!

Je kuna haja ya kutoa tafsiri ya aina ya vifo vinavyoweza kusababisha uchaguzi kuahirishwa na je kuna umuhimu wa kutazama aina ya wagombea kama wana mchango wa kutoa tofauti ya matokeo au vipi. Najua huu mjadala mkubwa, waweza changia haraka ili kuangalia mapungufu ya Katiba ya Tanzania na namna ya kuifuta na kuandika mpya. Hakuna chama kinachozungumza hili sasa. Wako bize kwenye kampeni tu na sasa wanafurahi kuongezewa muda ili wapambane zaidi, hili la gharama za ziada nafahamu sasa kila chama linakiona na ni mara ya kwanza katika Tanzania!

Wasalaam, kuna wimbo wa Kitoto Band hapa unaitwa Kilimanjaro na unataja kila sehemu za Arusha na Kilimanjaro na Tanzania. Walai huyu Freddy Macha acha tu, maana anatakiwa kupeleka songi hili pia Bongo si huku tu mtoni.
 
© boniphace Tarehe 10/27/2005 01:22:00 PM | Permalink |


Comments: 13


 • Tarehe 10/27/2005 9:57 PM, Mtoa Maoni: Blogger msangimdogo

  Nimesoma uchambuzi wa mhariri wa majira katika gazeti la leo..akizungumzia juu ya uhaba wa busara za watunga sheria wetu ambao wanapotunga hawaangalii kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kile wanachodhania hakipo,kutokea.....nilichokuwa nimetarajia mimi ni kuwa tume ingeita wagombea wote na kukaa pamoja hiyo jana kabla ya kufikia maamuzi baada ya kuangalia mzigo wa gharama ambazo watanzania watakuwa wamebebeshwa.

  lakini watafanya nini unadhani kwasababu tume hii imekuwa ikionekana kama kibaraka wa CCM, hivyo hii pia ni nafasi nzuri sana ya kuwawezesha jamaa zao hao kuendelea kujiweka sawa katika sehemu ambazo maji yalikuwa shingoni, hasa ukizingatia kuwa wenzao mafungu yatakuwa yameisha ilhali wao wanachota tu hazina pale kisha mnakuja ambiwa kuwa mishahara ya wafanyakazi imechelewa kutokana na tatizo la kompyuta sijui mpaka mtaalamu aje toka Bongeni...........Hizi ndio siasa bwana

   
 • Tarehe 10/28/2005 11:47 AM, Mtoa Maoni: Anonymous John Mwaipopo

  Hiyo ndiyo demokrasia baba. Ukiona ni gharama basi jaribu u-imla kisha pambanua kati ya taratibu hizi mbili za uongozi ipi unaipenda. Panapo demokrasia lazima tujibane,ingawaje inauma, ili kila mmoja apate uga sawasawa ili asije akapata sababu japo moja ya kumfanya atofautiane na wengi, kitu ambacho hakika chaweza hatarisha amani na domokrasia.

   
 • Tarehe 10/28/2005 11:58 AM, Mtoa Maoni: Blogger Boniphace Makene

  Mwaipopo ni aina ipi ya demokrasia uliyojengea hoja yako hapo juu. Nifahamishe ili niweze kutoa fikra zaidi maana hakuna aina moja ya demokrasia na pia hakuna demokrasia inayoshamiri katika kutoa mzigo kwa umma. Huo utakuwa ni mfumo mwingine na hauna mhimili katika demokrasia.

   
 • Tarehe 10/28/2016 6:37 PM, Mtoa Maoni: Blogger REMY.CREDIT

  Habari
  ni wewe kutafuta kwa msaada wa kifedha haja mkopo kulipia bili madeni kununua nyumba gari nk sisi kutoa kila aina ya mkopo na sisi kutoa mkopo katika 2% kiwango cha interst hivyo kama unahitaji mkopo wewe ni email yetu leo katika {REMY.CREDIT111 @ GMAIL.COM}
  Fomu ya mkopo Maombi Kuwa Kujazwa Chini:

  Fomu ya mkopo Maombi Kuwa Kujazwa Chini:

  Jina la kwanza:......................... ....
  Jina la familia:......................... ....
  Nchi: ...................... ..........
  Jimbo ........................ .............
  Kiasi: ....................... .........
  Mkopo Duration: .....................
  Nambari ya simu:.....................
  Idadi Fax: ........................
  Kazi: ................... .......
  Tarehe Ya Ku Zaliwa:......................
  Mapato kwa mwezi: .................
  Jinsia: .......................... .........
  kuwa na wewe kuomba mkopo kabla? ..................

  Sisi kusubiri jibu lako katika barua yetu [REMY.CREDIT111@GMAIL.COM}
  THANKS na Mungu akubariki

   
 • Tarehe 12/27/2016 5:54 PM, Mtoa Maoni: Blogger Taylor Shaw

  Hello,

  Salamu kwa jina la bwana. Jina langu ni Miss Taylor Shaw, Nina umri wa miaka 25, nina kutoka Marekani (U.S.A.), I am daugther tu wa marehemu Mr / Mrs. Shaw.

  Sina jamaa wowote kuanzia sasa kwamba naweza kwenda, kwa sababu i kushoto nchi yangu katika umri mdogo sana kukaa katika africa, Nigeria just kukaa na mama yangu ambaye anaongoza vituo vya gesi baba yangu katika nigeria

  Wazazi wangu mwenyewe vituo 12 gesi hapa nchini Nigeria ambayo serikali imekusanya yao kutoka kwangu kutokana na kumalizika leseni na yasiyo remitter ya malipo ya kodi.

  Nataka kwenda nyuma ya masomo yangu kwa sababu mimi tu walihudhuria mwaka wangu wa kwanza katika chuo kikuu kabla ya tukio la kusikitisha kilichotokea.

  Mimi nilikuwa kuwasiliana na Union Bank london plc kwamba kiasi kikubwa cha fedha ilikuwa zilizoingia katika benki ambayo i alikuwa na jina saini kwa akaunti, jina langu ilitumika kama pili ya jamaa.

  kiasi katika swali ni 4000000000 $ (sisi dola), benki alinijulisha leo.

  Lakini meneja wa benki aliniambia kuwa kabla i wanaweza kupata fedha hii kutoka benki, i watakuwa na kununua mabadiliko ya cheti umiliki ambayo gharama $ 2,500 dola na i hawana kiasi hicho pamoja nami.

  Hivyo l kama wewe kusaidia mimi kuhamisha fedha hii kwa akaunti yako na kutoka humo utakuwa kuchukua kiasi cha 40% basi utakuwa kutuma iliyobaki 60% ya fedha kwa taarifa za akaunti aliyopewa na wewe.

  Ninawapa ninyi kutoa hii kwa sababu i hawana nyingine yoyote chaguo kushoto.


  Regards
  Miss Taylor Shaw

  taylorshaw213@gmail.com

   
 • Tarehe 3/02/2017 10:41 AM, Mtoa Maoni: Blogger Bob Britten

  Siku njema,
  Je, unahitaji haraka mkopo kuanza
  up biashara, au unahitaji mkopo
  kwa refinance, Je, unahitaji mkopo kwa
  kulipa deni? Je, unahitaji mkopo
  kununua gari au nyumba? Kama ndiyo wasiwasi
  tena, Tunaweza kukusaidia !!! mawasiliano
  nasi sasa kupitia E-mail kwa haraka yako
  mkopo.
  E-mail:
  davidadelekeloancompany@yahoo.com
  Asante.
  Mr David Adeleke
  -

   
 • Tarehe 4/15/2017 12:31 AM, Mtoa Maoni: Blogger Mendes

  Hii ni kampuni ya Canada na sisi kuwa na kusoma maelezo mafupi ya nchi yako, kuelewa sasa uchumi kuvunjika fedha. Tumeamua kusaidia kwa kutoa msaada wa kifedha, huduma ya mkopo, ruzuku na paket nyingine za kifedha. Tunatoa 2% kwa ajili ya mkopo mipango malipo ya kila mwezi. Kwa maelezo zaidi barua pepe:

  Nilceia Teofilo
  +1 (774-234-8947)
  Barua pepe: nilceiateofiloinvestments@gmail.com

   
 • Tarehe 5/25/2017 11:05 PM, Mtoa Maoni: Blogger Elena Nino

  Ndugu wanaotafuta mkopo

  Wewe katika matatizo yoyote ya fedha? Je, unataka kuanza biashara yako mwenyewe? Hii kampuni ya mkopo ilianzishwa Mashirika ya haki za binadamu duniani kote kwa madhumuni ya kusaidia maskini na watu wenye matatizo ya kifedha ya maisha. Kama unataka kuomba mkopo, kupata nyuma sisi na maelezo hapa chini ya barua pepe: elenanino0007@gmail.com

  jina:
  kiasi mkopo inahitajika:
  Loan Muda:
  Namba ya simu ya mkononi:

  Asante na Mungu awabariki
  kujiamini
  Bi Elena

   
 • Tarehe 5/28/2017 3:24 PM, Mtoa Maoni: Blogger Ryan Kenneth R

  Hello!

  Unahitaji halali na ya haraka huduma ya mkopo?
  Kwa sasa sadaka 3% Mikopo ya yote Aina mikopo ya biashara, Mikopo kibinafsi, Gari Mikopo, kilimo Mikopo, au fedha Project? Sisi kutoa mikopo kwa makampuni na watu binafsi duniani kote, konsolideringen madeni, hata kama una
  alama ya chini ya mikopo na kutafuta ni vigumu kupata mikopo kutoka benki ya eneo lako au taasisi yoyote ya kifedha? , Na sasa kuwa na wakati mgumu kukabiliana na benki yako, au nyingine taasisi za fedha? Je, unahitaji haraka mkopo kama ndiyo Email yetu nyuma kupitia (ryanloaninvestment@outlook.com) sisi Kutoa kila aina ya Mikopo.

  Omba Sasa na kupata fedha yako haraka!

  * Kukopa kati 5000 na Euro 50,000,000
  * Chagua kati ya miaka 1 hadi 30 kulipa.
  * Flexible suala mkopo na masharti.

  mipango hii yote na zaidi, wasiliana nasi sasa.

  wasiliana nasi kupitia barua pepe: kwa ajili ya kampuni ya mkopo yeyote aliyenisaidia hapa ni maelezo yao mawasiliano (ryanloaninvestment@outlook.com)


  kuhusu
  Management.
  Wito simu: +27 (0603170517)
  Wasiliana Speedy yako Loan Sasa!

   
 • Tarehe 6/22/2017 11:56 AM, Mtoa Maoni: Blogger OGUDUGU SPELL CASTER

  Dr Ogudugu offering the best and greatest service related to love spell, enemy spell, protection spell, child birth. I'm from Nigeria. I am doing these spells from past 25 years. I will give 100% sure result. My spells are very powerful and for instant result. I am not fake and i can give you result by my powers. My powers shows you the instant result. If you have any problem in life like love problem, beauty problem, child birth problem then contact me once. I am the person who can give you the right advice. I will consult your problem with my god and reply you as soon as possible. There is nothing which i cannot solve by my powers. I am doing this for right cause, I use this to server people. My powers are not for fake people or for cheater.


  Contact me -
  Email: greatogudugu@gmail.com
  Website: http://greatdrogudugusolutiontemple.webs.com/
  Phone No: +2348055304321
  WhatsApp No: +2348055304321

   
 • Tarehe 8/13/2017 4:21 AM, Mtoa Maoni: Blogger Clifford Jackson

  I got my already programmed and blanked ATM card to withdraw the maximum of $400,000 MONTHLY , $20,000 daily for a maximum of 4 MONTHS. I am so happy about this because i got mine last week and I have used it to get $140,000 already. CLIFFORD JACKSON Hackers is giving out the card just to help the poor and needy though it is illegal but it is something nice and he is not like other scam pretending to have the blank ATM cards. And no one gets caught when using the card. get yours from CLIFFORD JACKSON Hackers today! Just send an email to cliffordhackerspays@gmail.com.

   
 • Tarehe 4/30/2018 3:24 PM, Mtoa Maoni: Blogger Williams Sarah

  Hi mimi ni WILLIAMS SARAH
  Je! Ungetesha mkopaji / mkopo? Je! Unahitaji mkopo? Je! Unahitaji msaada wa kifedha wa haraka? Unahitaji mikopo ya papo hapo ili kulipa madeni yako, au unahitaji fedha ili kuboresha biashara yako? Tunatoa kila aina ya mikopo na viwango vya riba 2% kwa watu binafsi na kampuni yenye masharti na masharti ya wazi. Ikiwa unatoa mikopo yoyote kwa marudio yoyote, tafadhali wasiliana na sisi leo ili kupata mikopo yako leo. Tutumie barua pepe: (williamssarahloanfirm@gmail.com)

   
 • Tarehe 6/15/2018 6:33 AM, Mtoa Maoni: Blogger Mary Jane

  Are you blacklisted? Struggling to get a personal loan? Has your application been DECLINED due to Low Credit Score? Over COMMITTED? Affordability? But you know you can afford this loan. Loans Approved in 12hours, you can email us at collinsguzmanfundings@gmail.com

   
   
 
Copyright 2006 © BONIPHACE MAKENE. All Rights Reserved