Tarehe 2/24/2006 1:55 PM, Mtoa Maoni: John Mwaipopo
Tarehe 2/25/2006 1:10 AM, Mtoa Maoni: Reggy's
Tarehe 3/02/2006 1:27 AM, Mtoa Maoni:
Tarehe 3/04/2006 6:10 AM, Mtoa Maoni: FOSEWERD Initiatives
Tarehe 3/04/2006 10:21 AM, Mtoa Maoni: John Mwaipopo
Tarehe 3/18/2006 11:23 AM, Mtoa Maoni: FOSEWERD Initiatives
Kweli yule bwana ni Machachari..na anaonekana ni machachari kweli....labda mzalendo pia...tulikutana Addis Ababa 2004, nikiwakilisha SA naye akiwakilisha TZ, alikuwa anajitambulisha "I am Kapenjama from the United Republic of Tanzania"....halafu unajua tena anaweka hizo r kwenye l...baada ya muda wote tukawa tunamuita United Repabric of Tanzania....he is a good guy!
Kapiga simpo tu. kadet na sweta.Hiyo ndio T-shirt na jeans ya madingi. Wangekuwa wengine hapo suti mithili wanaingia mkutanoni UN.
Walau nao wamasai wanywe maji ya viwandani leo. Lakini mwajua mzoea vya kunyonga vya kuchinja kwake vigumu. Isije kuwa hawa morani washazoea ya visimani na mitoni. Leo kupewa ya Mohamed Enterprises, Reginald Mengi na Bakhresa wataharisha hawa.